katika hiyo movie ambayo picha yake umeiweka hapo alikuwa anaita GENERAL ALADEEN,nadhan umenisoma mkuu
dah mkuu <!-- google_ad_section_start(weight=ignore) -->kawakama<!-- google_ad_section_end --> umetishaa huyu jamaa namkubal mnooo ngoja niishushe ucku huu huu thanx alot man!!!!
hhhahaah..hiyo movie inaitwa THE DICTATOR,ni movie ya kumdhihaki THE LATE COL.MUAMMAR EL GADAF lakini ni full comedy hyo jamaa kuna movie nyingine ya comedy sana pia aliyoicheza inaitwa YOU DONT MESS WITH ZOHAN,pia anafahamika kwa jna la ZOHAN
Uko sahihi kabisa, hiyo movie ilivuma sana mwaka jana huku ugenini!hhhahaah..hiyo movie inaitwa THE DICTATOR,ni movie ya kumdhihaki THE LATE COL.MUAMMAR EL GADAF lakini ni full comedy hyo jamaa kuna movie nyingine ya comedy sana pia aliyoicheza inaitwa YOU DONT MESS WITH ZOHAN,pia anafahamika kwa jna la ZOHAN