Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 43,895
- 150,161
Msaidiee kijana wako hapo juuAhsante sana
Msaidiee kijana wako hapo juuAhsante sana
Apambane mwenyewe Sina Cha kumsaidiaMsaidiee kijana wako hapo juu
Acha uzinzi
Hama tu apo umuachie geto ukiona bdo kaganda Anza kuamisha na vitu vyako!!
Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
Duh!,Kuna watu wanaoaga kwa namna hii,nkupe siri kama unatembea na demu mwenye umri chini ya 30 hakiksha unachukua mzuri maana lolote laweza tokea(niving'ang'aniz hawa watoto)
kupatwa!
Vizuri vinaundwaa... Muunde mgharamikie hamna mwanamke mbaya alafu muoe
Ashikilie hapo hapo asiachie. Ondoka ww
Apambane mwenyewe Sina Cha kumsaidia
Ashikilie hapo hapo asiachie. Ondoka ww
Huu uzi umenichekesha Sana,,,Unacheka kama mazuri
Kamshtaki kwa mjumbeAcha roho mbaya nahitaji msaada
Na sikukuu za Noeli na Mwaka mpya msherehekee kwa Amani na mwenzio! Acha kumnanga Alaa!! Hit and run amekuwa Dogi huyo? Ana akili sana. Ningekuwa mimi ndio huyo dada ningepika pilau biriani skukuu hizi.
Sasa wewe dem wa kupiga tu unampelekaje geto?