ndegeulaya
Member
- Apr 26, 2011
- 74
- 13
Em naombeni msaada aise jamani wana JF, mimi natumia simu aina ya Samsung Blackjack (Sgh-i607), sasa kinachonitatiza siku mbili tatu hizi ni kwamba nikijaribu ku'visit JF website kupitia simu yangu ya mkononi, yenyewe by default inajifungua in PC Mode, na sioni tena kile kitufe cha JF Mobile, je tatizo ni JF website yenyewe, au ni settings kwenye simu yangu, na kama ni settings nifanye vipi? msaada tafadhali.