Msaada tafadhali ....! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada tafadhali ....!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ndegeulaya, Oct 1, 2011.

 1. ndegeulaya

  ndegeulaya Member

  #1
  Oct 1, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 75
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Em naombeni msaada aise jamani wana JF, mimi natumia simu aina ya Samsung Blackjack (Sgh-i607), sasa kinachonitatiza siku mbili tatu hizi ni kwamba nikijaribu ku'visit JF website kupitia simu yangu ya mkononi, yenyewe by default inajifungua in PC Mode, na sioni tena kile kitufe cha JF Mobile, je tatizo ni JF website yenyewe, au ni settings kwenye simu yangu, na kama ni settings nifanye vipi? msaada tafadhali.
   
 2. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #2
  Oct 1, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160


  Hili sio jukwaa lake! Unapeleka sehemu husika.
   
 3. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #3
  Oct 1, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Ni kiasi cha kumuelekeza tu
   
 4. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #4
  Oct 1, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,969
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  Shusha page hadi mwisho. Utaona kuna sehemu imeandikwa "JF NEW", click hapo.
  Itakuletea choice mbili. JF NEW, JF MOBILE,chagua JFmobile. Click kwenye Jf Mobile. Shughuli itakuwa imekwisha.
   
 5. ndegeulaya

  ndegeulaya Member

  #5
  Oct 1, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 75
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante kwa msaada wako Mzee mkubwa, nimejaribu kufuatilia maelekezo yako na nashkuru kitufe cha Options nimekiona, sasa tatizo langu bado ni kwamba hata nikishachagua JF Mobile simu yangu hafanyi badiliko lolote from PC Mode, na nikirudi kwenye kitufe nakuta yenyewe imeji-set tena back to JF New by default, au nakosea wapi? Msaada tafadhali ... !
   
Loading...