Msaada tafadhali

Daole

Senior Member
Sep 23, 2010
161
109
Kwa yoyote anaelewa naona ufafanuzi tafadhali.
Mimi ni miongoni niliekosa mkopo lakini baada ya kuangalia breakdown za heslb nimekuta jina langu lipo kwenye kundi la Previous loanees. Hapa sielewi bodi wamemaanisha nn kuwa wanaendelea kunipa mkopo ie nipo chuo au kwa kuwa mwaka uliopita niliomba chuo na mkopo lakini sikuweza kujiunga na chuo hivyo nafasi yangu mwaka huu ipo. Naomba ufafanuzi wanajamvi...

co wewe 2,mko wengi wenye case kama hzo.

mkuu previous loanees inamaanisha kati ya (1)BADO UNAENDELEA KUNUFAIKA NA MKOPO (2)ULIACHA MASOMO UKIWA CHUONI (3)ULIFUKUZWA CHUO (4)ULIDISCO(FAIL) kama hukuenda chuo kabisa na wamekuandikia hivyo hela yako itakua ilikua inaingizwa chuoni na inawezekana imeliwa na wajanja, kwa hiyo nakushauri ufike pale ofisi zao Tirdo complex watakupa maelezo zaidi.

Back
Top Bottom