Msaada tafadhali

The Inquisitive

Senior Member
Oct 27, 2010
177
29
Naomba mnisaidie kunitajia hoteli nzuri na reasonable rates huko Zanzibar. Nitashukuru kupata contact details za hizo sehemu. Asanteni.
 
wakishakutajia ili ujihakikishie mwenyewe tumia hzo darubini kuhakikisha hkohko uliko kabla hujaenda zenji...........huh
 
Wadau, bado nipo nasubiri info kutoka kwenu kuhusu hoteli Zanzibar :A S-alert1: Nina hakika jibu lipo hapa JF.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom