HOYANGA
Senior Member
- Jun 9, 2011
- 187
- 26
Wana jf ninampango wa kununua printer kwa ajili ya matumizi yangu binafsi ya kielimu, ila sina uzoefu!!! Kwa wazoefu, naombeni msaada wa ushauri ni printer gani ni nzuri ambayo inaweza kuscan na kuprint nakala za rangi, jeupe & nyeusi!! Na pia iwe inawezekana kuendeshwa kwa kipato cha mwanafunzi wa kitanzania!!