Nahitaji post ya zamani humu JF. Najua kichwa cha habari chake. Je naitafuta vipi? Nianzeje kuitafuta? Mimi ni mgeni humu bado sijakuwa mzoefu .
Weka kichwa usaidiwe Uzi mzima
Naomba unielekeze jinsi ya kutafuta mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Itanisaidia zaidi ukinionyesha jinsi ya kuitafuta mwenyeweHiyo post inasemaje
ndugu...?
Itanisaidia zaidi ukinionyesha jinsi ya kuitafuta mwenyewe
Nimejaribu kuchungulia lakini sijaona post hata moja uloyowahi kuandika zaidi ya hii unayoomba msaada. Labda ujaribu kutumia lile jina lingine maana hapa umechapia.
Jina gani gani tena?Nimejaribu kuchungulia lakini sijaona post hata moja uliowahi kuandika zaidi ya hii unayoomba msaada. Labda ujaribu kutumia lile jina lingine maana hapa umechapia.
Facebook freeUnatumia browser gani kuingilia JF...?
Na je ukitaka kuiyona post yako mwenyewe ya zamani unafanyaje?Nafkiri hujamuelewa alichouliza aisee.
Kwanza kabisa huyu ni new member na post alizo-post mpaka nnapoandika hii comment ni post 3 tu anazo ukijumlisha na Thread 1 tu ambayo ndio hii.
Sasa anachotafuta yeye ni post ya mtu mwengine ambayo imepostiwa zamani sio post yake.
Alitakiwa aende sehemu ya ku-search aandike keywords anazotafuta kutokana na hiyo post anayosemea, lakini pia atumie filter ili ieleweke anachotafuta ni TOPIC au COMMENT/POST zitakuja nyingi then ataangalia anachokitaka. Sasa inategemea anatumia browser au app ya JF ndio mana nikamuuliza anatumia nini kuingia JF...?
Nadhani utakuwa umenielewa vizuri.
Sawah nashukuru sana kiongoz.Gusa avatar yako itakupeleka kwenye profile yako, gusa tena avatar itakupeleka kwenye page amabyo utaona maneno yameandikwa REPORT na FIND gusa hapo kwenye FIND utaona itatokea unachotaka kuona aidha CONTENTS au THREADS.