JMWAKA JF-Expert Member Jun 18, 2012 694 574 Dec 15, 2017 #1 Salamu waungwana Jamani kuna kakitu kananisumbua nahitaji msaada kwakweli Ni Kanyama sijui kanini kapo sehemu ya haja big kanauma kweli siwezi kuelezea zaidi walioelewa wanipe msaada TAFSIDA muhimu tafadhali Asanteni
Salamu waungwana Jamani kuna kakitu kananisumbua nahitaji msaada kwakweli Ni Kanyama sijui kanini kapo sehemu ya haja big kanauma kweli siwezi kuelezea zaidi walioelewa wanipe msaada TAFSIDA muhimu tafadhali Asanteni
Babu Msomali JF-Expert Member Mar 4, 2016 265 785 Dec 15, 2017 #2 Hiyo ni Bawasili mkuuu... Wahi hospital... Pole sana..
kauga JR JF-Expert Member Mar 4, 2015 3,503 2,077 Dec 16, 2017 #3 Hiyo ni Bawasili mkuu nenda hospitali HARAKA
mariam steven mgonglwa Member Oct 18, 2017 24 5 Dec 16, 2017 #5 Hiyo ni dalili ya bawasira mkuu nenda hospitar