Msaada Tafadhali

JMWAKA

JF-Expert Member
Jun 18, 2012
694
574
Salamu waungwana
Jamani kuna kakitu kananisumbua nahitaji msaada kwakweli

Ni Kanyama sijui kanini kapo sehemu ya haja big kanauma kweli siwezi kuelezea zaidi walioelewa wanipe msaada TAFSIDA muhimu tafadhali

Asanteni
 
Back
Top Bottom