Msaada tafadhali

solanum

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
203
99
Habari zenu wakuu!

Mimi ni kijana wa kiume nimemaliza chuo mwaka jana (2015) bachelor degree of science in food scicence and technology. nipo kwenye mchakato wa kutafuta kazi sehemu mbalimbali lakini mpaka sasa bado sijafanikiwa na muda unazidi kwenda nimepata idea ya kufuga kuku wa kienyeji au wa nyama (broilers) na chotara ili niweze kujipatia kipato huku nikiendelea na kutafuta ajira. Tatizo niliokua nalo sina eneo (mabanda) wa kufugia hao kuku pamoja na ujuzi. Naombeni msaada wenu jamani katika kuleta maendeleo ndiyo naanza maisha, mimi kwa sasa nipo Dar es salaam, namba zangu 0758 106 501.
 
Back
Top Bottom