Faru dume
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 471
- 116
Poleni wadau,
Naombeni kufahamu ni jinsi gani naweza kupata sponsor atakae support NGo yetu na njia zipi tupitie tuweze kupata huo ufadhili pamoja na donnors watakao support baadhi ya mipango miradi tuliyoindaa.
Nafahamu wapo wataalam humu watakao tusaidia kufikia malengo yetu.
Asanten na karibuni
Kama ukihitaji maelezo zaidi kuhusu NGo tembelea Web yetu www.changamotoyouth.com