msaada tafadhali wataalam

Atawanye maombi yake: MUHAS, CUHAS, KCMC na UDOM au Kairuki. Lakini aweke akiba ya kidegree nyingine asiweke mayai yake yote kwenye chungu cha medicine.
 
Vyuo vya serikali MD hapati labda famasia tena awahi mapema mwaka jana muhas ilikwa mwisho 6 na na udom 7 kwa MD....... Anyway kama ana undgu na jiwe uhakika kupata hvyo vyuo..........
 
Vyuo vya serikali MD hapati labda famasia tena awahi mapema mwaka jana muhas ilikwa mwisho 6 na na udom 7 kwa MD....... Anyway kama ana undgu na jiwe uhakika kupata hvyo vyuo..........
Ndio maana ameshauriwa atawanye maombi yake badala ya kufikiria MUHAS tu.
 
Kwa MUHAS asijisumbue kabisa.......

Kwa matokeo hayo kama anataka kuingia MUHAS aombe Nursing Mkuu....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom