Kwanza uliweka Google account yako ya simu ya zamani kwenye simu mpya?Nimenunua simu mpya, nikaweka line zangu toka simu ya zamani. Nikakonect internet na whatsapp, loh! whatsapp zangu contacts ma msgs hazikurudi. Nifanyeje?
Kwanza uliweka Google account yako ya simu ya zamani kwenye simu mpya?
Pili, uli backup WhatsApp chats zako kutoka simu ya zamani kupitia Google Drive backup?
Sent using Jamii Forums mobile app
hapana sijafanya lolote.Kwanza uliweka Google account yako ya simu ya zamani kwenye simu mpya?
Pili, uli backup WhatsApp chats zako kutoka simu ya zamani kupitia Google Drive backup?
Sent using Jamii Forums mobile app
hapan nimerudisha line kwenye simu ya zamani kila kitu kimerudi. Nifayeje sasaKesha umia, usikute alidelete acount kwenye simu ya zamani
nimerudisha line kwenye simu ya zamani, kila kitu kimerudi as before. Niongoze nifanyeje sasa kuokoa jahaziKwanza uliweka Google account yako ya simu ya zamani kwenye simu mpya?
Pili, uli backup WhatsApp chats zako kutoka simu ya zamani kupitia Google Drive backup?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza Google account yako unaijua password na detail zote?nimerudisha line kwenye simu ya zamani, kila kitu kimerudi as before. Niongoze nifanyeje sasa kuokoa jahazi
yes hata sasa niko inbox gmail account
Ok basi ingia WhatsApp. Bonyeza vidoti vitatu pale juu kisha ingia Settings.yes hata sasa niko inbox gmail account
Alternative simu ya zamani kama una file manager Ingia internal storage Kisha nenda folder la whatsapp Kisha database utakuta msg zako zote humo, copy kila kitu then Hamisha simu mpya.nimerudisha line kwenye simu ya zamani, kila kitu kimerudi as before. Niongoze nifanyeje sasa kuokoa jahazi
asante sana, it is making a backup, ila iko a bit slow..60% after 20 min. Nina GB 44 nadhani zitatosha na videoOk basi ingia WhatsApp. Bonyeza vidoti vitatu pale juu kisha ingia Settings.
Hapo chagua Chats kisha Chat Backup.
Kisha set kwenye Google Drive Settings kma kwenye screenshot yangu hapo chini.
Baada ya hvyo bonyeza backup. Itabackup msg zako na picha zako zote (ukichagua kuback up na videos jua kuwa MB zitakazo tumika zitakua ni nyingi).
Hapo nenda kwenye simu yako mpya, rudisha gmail account yako. Baada ya hapo either clear data ya WhatsApp iliyokua kwenye hyo simu mpya. Kma hujui jinsi ya kuclear wewe futa tu WhatsApp kwenye simu mpya hyo na uidownload upya.
Ukishadownload upya fungua app, endelea na process zote mpaka itakapo kuja sehem ya ku restore backup. Hapo utapata option ya kuchagua Google account yako na kurudisha kila kitu chako.View attachment 1714151
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitajaribu ile ya kwanza iki fail. sante sana tena sanaAlternative simu ya zamani kama una file manager Ingia internal storage Kisha nenda folder la whatsapp Kisha database utakuta msg zako zote humo, copy kila kitu then Hamisha simu mpya.
View attachment 1714179
Unaweza tumia memory card, ama app mbalimbali za kuhamishia vitu.
Alternative nyengine simu za kisasa kama samsung wana app zao za kuhamishia vitu, kwa Samsung inaitwa smart switch, ukiweka simu zote mbili ina Hamisha kila kitu.
asante racka98 nilifanikwa. Ila nisaidie tena, kuhamisha contacts za simu inanizingua kidogo. Nisaidie tena.Ok basi ingia WhatsApp. Bonyeza vidoti vitatu pale juu kisha ingia Settings.
Hapo chagua Chats kisha Chat Backup.
Kisha set kwenye Google Drive Settings kma kwenye screenshot yangu hapo chini.
Baada ya hvyo bonyeza backup. Itabackup msg zako na picha zako zote (ukichagua kuback up na videos jua kuwa MB zitakazo tumika zitakua ni nyingi).
Hapo nenda kwenye simu yako mpya, rudisha gmail account yako. Baada ya hapo either clear data ya WhatsApp iliyokua kwenye hyo simu mpya. Kma hujui jinsi ya kuclear wewe futa tu WhatsApp kwenye simu mpya hyo na uidownload upya.
Ukishadownload upya fungua app, endelea na process zote mpaka itakapo kuja sehem ya ku restore backup. Hapo utapata option ya kuchagua Google account yako na kurudisha kila kitu chako.View attachment 1714151
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda settings -> Accounts -> Chagua Google account yakoasante racka98 nilifanikwa. Ila nisaidie tena, kuhamisha contacts za simu inanizingua kidogo. Nisaidie tena.
Hapana sioKwani Chief-Mkwawa wewe ni IT?