teac kapex
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 470
- 136
Najaribu kuiconnect simu na pc inaniandikia kama inavyoonyesha kwenye picha View attachment 1751879
View attachment 1751884
View attachment 1751884
Yaani naona uko ndani ya mawazo yangu kabisa, lkn pia kuconnet kwa kushare mafailiUnataka ukonect uweze kushare mafile au unataka ukonect uweze kutumia kama kifaa kimoja kwamba cm ikiwa imezima upate kutumia kwenye pc na pc ikiwa imezima utumie kwa cm?
Natumia Windows 10 na simu ni Samsung note 9Unatumia window ipi?
Kaka hebu toa ufafanuzi ili nione kiu yangu inatowekaUnataka ukonect uweze kushare mafile au unataka ukonect uweze kutumia kama kifaa kimoja kwamba cm ikiwa imezima upate kutumia kwenye pc na pc ikiwa imezima utumie kwa cm?