Msaada tafadhali simu yangu haikubali ku connect na pc yangu nifanyeje?

teac kapex

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
470
136
Najaribu kuiconnect simu na pc inaniandikia kama inavyoonyesha kwenye picha View attachment 1751879
Screenshot_20210414-164702_Settings.jpg

View attachment 1751884
 
Unataka ukonect uweze kushare mafile au unataka ukonect uweze kutumia kama kifaa kimoja kwamba cm ikiwa imezima upate kutumia kwenye pc na pc ikiwa imezima utumie kwa cm?
 
Unataka ukonect uweze kushare mafile au unataka ukonect uweze kutumia kama kifaa kimoja kwamba cm ikiwa imezima upate kutumia kwenye pc na pc ikiwa imezima utumie kwa cm?
Yaani naona uko ndani ya mawazo yangu kabisa, lkn pia kuconnet kwa kushare mafaili
 
Nataka nikonect niweze kutumia kama kifaa kimoja kwamba cm ikiwa imezima nipate kutumia kwenye pc na pc ikiwa imezima nitumie kwa cm?
HIYO NDO HAJA YANGU HASAAA, SIMU IKIPIGWA NAPOKEA TU
 
Unataka ukonect uweze kushare mafile au unataka ukonect uweze kutumia kama kifaa kimoja kwamba cm ikiwa imezima upate kutumia kwenye pc na pc ikiwa imezima utumie kwa cm?
Kaka hebu toa ufafanuzi ili nione kiu yangu inatoweka
 
Back
Top Bottom