Msaada tafadhali: Sijui kwanini naamini nchi yetu haina Rais

JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
23,861
2,000
Inawezekana uko sahihi.
Mama Samia hakuwa na hata Noto ya kuamka siku moja kuwa Raisi., Kwa hiyo inamuwiavigumu ku cope nakwa vile hakuwa na mkakati binafsi ,anajaribu kujijengea uwezo, na plan ya kuendesha nchi.
Mpungufu yote tunayo yaona ni kwa sababu hiyo.
Hata hivyo anafanya vizuri tuu Anajitahidi sana kurekebisha kila anapowenda kombo, na tuna muelewa .Mzigo alioubeba si mwepesi kama unavyo dhania. Sasa yeye anaongoza nchi huku akijaribu kujenga mkakati ,si hoja kumuona anabadili gia angani, na wakati mwingine hata kurudi revasi ili kuweka mambo sawa.

Ondoa Hofu Katiba mpya Ipo inakuja, na Mbowe atatolewa tuu pale usanii utapomalizika.
Hii ni nafasi ya kumuacha Mama avute Pumzi wakati munapambana na Kesi mahakamani. Bila ya hivyo mungelimchanganya ,mama wa watu ,uraisi wenyewe wa kudapia njiani si wa kujipanga.
Pole sana

..tatizo lingine ni kwamba Maza hana mvuto.

..pia Maza hawezi kujenga hoja zenye ushawishi.

..kabla hajawa Raisi SSH hakuwa na sifa yoyote ile ya kumtambulisha binafsi.

..Kwa mfano, hakujulikana kama mchapa kazi. Hakujulikana kama mtetea haki. Hakujulikana kama mwana uchumi mahiri. Mwanasiasa au Kiongozi lazima awe na identity fulani.
 

Jp Omuga

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
4,702
2,000
Wakuu toka kifo cha JPM kitokee, moyo wangu umegoma kuamini kuwa nchi imepata rais mwingine. Mpaka sasa naamini rais atapatikana 2025 nifanyeje niamini?
Kuanzia aondoke JM Kikwete nchi haijawahi kuwa na kiongozi. Taifa limepoteza dira na muelekeo!
Visasi, ukabila na ubinafsi vimetamalaki!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom