Ni rahisi tu Boss,Visu(ninja blades) viwe juu,Nielekeze ata kwa picha mkuu🙏
Asante sana mkuuGeuza hyo base nyeupe, ingiza huo upanga hali ya kua uabki juu na shaft yake iyende chini (upande unaofungwa kwnye blende ndo chini na upande unapofunga jug lake ni juu kwa maelekezo hayo ninayokupa). Then weka washer hyo kwa chini (sehemu ya kufunga. Then weka hcho kiplastic/rubber hali ya kua upanga wake unaelekea chini, tia washer nyingine alaf funga bolt yake