Msaada Tafadhali, ni mtandao upi wenye kasi zaidi kati ya Vodacom 4G na Halotel

Azarel

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
28,410
39,486
Habarini Wadau,

Kichwa cha habari chajieleza, ninaomba kujuzwa mambo mawili:

1) Je ni mtandao upi wenye kasi zaidi wa internet kati ya Vodacom na Halotel?

Na nikitaka kununua line ya 4G ya vodacom kwa Arusha nitaipata? Kwasababu kwenye website yao wanasema hiyo huduma ipo Dar Es Salaam tu.

Msaada tafadhali.
 
Tatizo hii mitandao speed zake zinatofautiana kutoka eneo moja kwenda jingine kwa mtandao mmoja huo huo.. so kufananisha lazima useme ni katika eneo gani ulipo.. mfano mimi nilipo halotel hana mpinzani..
Ni Arusha mjini mkuu
 
Kaka TTCL wameshawasha switch ya 4G Arusha ,kama uko town nunua laini ya 4G ya TTCL ni noma sana. Naweza kushuhudia internet ya TTCL, nimekuwa nikiweka bundle naangalia album nzima ya kwaya bila internet kukata hata dk , naangalia movie ya dk 90 mwanzo mwisho. Halafu bundle lao haliishi haraka kama hao wengine. Airtel wao naona washashindwa , voda na Tigo nao hovyo.
 
Unaweza weka speedtest tuone speed yako mkuu?
 
Kwa Dar es Salaam Vodacom ni ina speed sana

IMG_20170403_131955.jpg
 
Habarini Wadau,

Kichwa cha habari chajieleza, ninaomba kujuzwa mambo mawili:

1) Je ni mtandao upi wenye kasi zaidi wa internet kati ya Vodacom na Halotel?

Na nikitaka kununua line ya 4G ya vodacom kwa Arusha nitaipata? Kwasababu kwenye website yao wanasema hiyo huduma ipo Dar Es Salaam tu.

Msaada tafadhali.
Kama una hela za mawazo sema ukweli vodacom 4g sikushauri weka tu halotel (maana ile kitu ni no buffering ukiingia youtube au sana sana instagram salio lazima liishe tena dakika sifuri tu) lakini kama upo fresh chukua vodacom maana kama mtaani kwenu wamepitisha zile waya za fibre (ambayo kwa Dar ni maeneo mengi) ujue hamna mtandao utaemfikia hata 3g yake sembuse 4g.
 
Hawawez weka...na mwingine anakuja anasema halotel inapita vodacom 4G
ni kweli hawawezi weka, mi nna laini za mitandao yote yenye 4G kwa sababu natumia Device ya 4G, yaani nna Laini ya VODACOM, TIGO na TTCL ya AIRTEL pia nnayo maana kuna maeneo nikikaa huwa napata mpaka 2MBPS kama nikiwa DIT na UBUNGO, Ila kiukweli kwa upande wa speed test Vodacom napata mpaka 32Mbps, tiGO 26Mbps na TTCL 18Mbps kwa upande wa PING, tiGO wana Ping ndogo kuliko VODA ila kw
 
Back
Top Bottom