Msaada tafadhali ni dharura sana - uke wenza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada tafadhali ni dharura sana - uke wenza

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Black Rose, Jan 26, 2012.

 1. Black Rose

  Black Rose JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 243
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Shosti wangu analalamika sana kuhusu kuishi maisha ya uke wenza.Mumewe alimuolea mke mwenza na toka wakati huo maisha yao ni ya shida tupu.Kiwango cha maisha kimeshuka sana.Hakuna maelewano baina yake na mume, ukiachilia mbali mke mwenzie.Nyumbani kumekua kama kituo cha polisi.

  Kwa wale wenye uzoefu na mitala, hebu mwageni siri ya mafanikio yenu tafadhali maana shosti anakaribia kupata wazimu!
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sina uzoefu ila nna swali. . .
  Yeye alipokubali aongezewe mke mwenza alitegemea nini? Ofcourse lazima kiwango cha maisha kishuke kwasababu mume kaongeza mtu mwingine wa kumhudumia.
   
 3. Wabogojo

  Wabogojo JF-Expert Member

  #3
  Jan 26, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 355
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ukewenza unakuwepo kwa sababu nyingi lakini daima huwa ni ndani kwa wandoa wenyewe aidha mme au mke lakini mara nyingi huwa kama si tamaa ya mme basi mke hatimizi ipasavyo wajibu wake kama mke. Ushauri wangu wa bure ni huyo shosti wako awe mkweli kwa kubainisha chanzo cha mme kusepa nje na kama ni yeye basi akiri mapungufu yake kwa shemejio na aomyeshe kwa matendo kuwa anajuta na kujirekebisha.
   
 4. bht

  bht JF-Expert Member

  #4
  Jan 26, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  daah siwezi kugawana mapenzi huku nikijua!

  Hivi ukiwa unaolewa, kile cheti cha ndoa si kuna mahali unajaza ndoa ni ya mke mmoja ama wengi.....sasa kama yeye alikubalina na kuwa itakuwa ya wake wengi basi she volunteered her own injury!
  Btw; kwa wale wenye kuruhusiwa mke zaidi ya mmoja, si unaweza pia kusema ni ya mke mmoja kama huna lengo la kuoa wengi! Black Rose hapa utanisaidia najua hapa una uelewa ziadi yangu.
   
 5. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #5
  Jan 26, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  I think, yeye alikuwa wa kwanza; mumewe akaongeza mwingine, if l got her right!
   
 6. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #6
  Jan 26, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Ngoja FaizaFoxy aje akupe maujuzi, sisi wengine it is unthinkable!
   
 7. Tulizo

  Tulizo JF-Expert Member

  #7
  Jan 26, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 849
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Maisha ya watu wawill ni magumu... Maisha ya watu watatu ni balaa.. Maisha ya watu wanne ni kiama..

  Kikubwa..shosti wako ajiulize alifuata nini kwenye mitala kwa kisingizio cha mapenzi.. kwani ni vigumu kutushawishi eti kuna mapenzi yanaweza kugawanywa kwa watu zaidi ya wawili...

  Kama mambo yalikuwa ni uchumi.. basi ajipige moyo na kujikwamua kiuchumi mwenyewe..Kila kitu kinawezekana ni kujiamini kuwa utaweza.. kumbuka chanzo cha furaha ni yeye mwenyewe na kujiamini kuwa anaweza yote kwa kumtumaini Mola.. Aachane na huyo vampire..
   
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  Jan 26, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Mila inahusu hasa hapo.
  Kwa waliotoka kwenye makabila polygamy, wanaishi sana
  Ila lazima mme awe MWANAMME, kama ni kivulana hiyo nyumba ni kvumbi na jasho.

  Hata hivyo kuna chalenji zake
  Hasa WIVU kwa wakewenza, ndo usiseme
   
 9. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #9
  Jan 26, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ndio niliyomaanisha Kaunga. . . sijui ndio nilitakiwa kutumia neno gani hapo.
   
 10. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #10
  Jan 26, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Kwa kweli huu ni mtihani.....
   
 11. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #11
  Jan 26, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kama ni urgent sana kama ulivyosema kwenye kichwa cha habari bora arudi kwao.
   
 12. F

  Fahari MJ JF-Expert Member

  #12
  Jan 26, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 425
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ili kubalansi mambo mwambie shosti wako amwambie mumewe aongeze wa tatu. wakiwa wawili tu ina mushkeri zadi.
   
 13. bht

  bht JF-Expert Member

  #13
  Jan 26, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  Asha hebu nisaidie jibu la swali langu pale juu wakati namsubiria BR.
   
 14. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #14
  Jan 26, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Kusema ukweli, kimoyo moyo nilikuwa naomba uje utoe mchango wako hapa; na nilitegemea zaidi ya huo!
  Pls msaidie mwenzetu!
   
 15. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #15
  Jan 26, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Huyu dada kama ni ndoa ya kiislam, hapo imani ndio inatakiwa kwani mwanaume ameruhusiwa kuoa wanawake 4, Hii ni kulingana na sheria ya dini ya kiislam.

  Lakini mwanake kama mwanamke unaweza kuta kuna mambo ambayo umeyasababisha mpaka mumeo akaamua kukuolea mke mwenza, Labda ungejiuliza wewe mwenyewe ni vipi mpaka mmeo akafikia hatua hiyo.
  Kwa sababu kama mwanaume alieishika dini barabara, mwanamke hata afanye nini hakuachi, sana sana takuongezea mke mwingine
  Sasa dada labda shogaako kuna alilolifanya kwa mumewe mpaka akaolewa mke mwingine.
   
 16. OPTIMISTIC

  OPTIMISTIC Senior Member

  #16
  Jan 26, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Dini ya kiislam inaruhusu, hata na zaidi. Na kuna taratibu za kufuata kama unapata pingamizi kutoka ktk familia
   
 17. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #17
  Jan 26, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kama yeye ni mke mkubwa basi asijipe BP kwani ukubwa dawa,na alipo olewa na huyu mume alitakiwa ajipange sababu dini yao inaruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja na kwani mume alimwambia kua atakua peke yake maisha? kama kakubali matokeo atulize akili yake ashukuru mungu aendele na kupewa zamu leo yeye kesho mwenzie alee wanawe la hawezi nadhani bora arudi nyumbani akapumzike kidogo ili akili yake ikae sawa na nyumbani wazee watamuelimisha, mpe pole manake kama namuona roho inavyouma..
   
 18. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #18
  Jan 26, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,069
  Likes Received: 6,529
  Trophy Points: 280
  Uke wenza siyo maisha,
  mapenzi hakuna,
  hujui hata mwanaume kalala wapi,
  dharau huwa nyingi,
  hata uwezekano wa kupata marazi ni mkubwa sana.
  kama anajiweza aanze mdogo mdogo.
   
 19. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #19
  Jan 26, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kama dini inaruhusu anatakiwa akubali yote yaliotokea, cha msingi hawe mvumilivu tu nakujikita zaidi kuangalia watoto, wake kama mume ajampa talaka bado ni mume wake, anachotakiwa asijipe presha ingawa ni ngumu mwisho wa siku meme anarudisha mapenzi si hunajua tena kule bado penzi bichi.
   
 20. D

  DDD Member

  #20
  Jan 26, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Du pole sana.
   
Loading...