Msaada tafadhali: Natafuta Ngariba wa kumtahiri mwanangu... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada tafadhali: Natafuta Ngariba wa kumtahiri mwanangu...

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mtambuzi, Nov 30, 2011.

 1. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #1
  Nov 30, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Mdogo wake Ngina anatimiza miaka 4 tarehe 9 Decemba, kwa kuwa tarehe hiyo nchi yetu inatimiza miaka 50 tangu ipate uhuru, nimeazimia nimtahiri mwanangu kwa kufuata mila na desturi za kiafrika. Natafuta Kibabu ambacho kina taaluma ya ungariba ili kimtahiri mwanangu kavu kavu, ili kawe kama mimi baba yake.

  Mwenye kumfahamu Ngariba yeyote hapa jijini Dar, basi anijuze kwa kunipa namba yake ya simu.
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Nov 30, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Usimnyanyase mtoto mpele hospitali bwana.
  Yanini kurisk afya yake wakati njia salama zaidi zipo?
   
 3. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #3
  Nov 30, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Nadumisha mila bana....................Mbona mie nilitahiriwa kavu kavu na si kufa!?
  Huo ndio uanaume................
   
 4. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #4
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  duuuuuuuuu! kamanda, au ndo mambo ya kulipizia maumivu ya mkono kwa mtoto? Kuna mtu hapa aliuliza ni nchi gani hiyo inayotimiza miaka 50 tangu kupata, uhuru? Ukinitajia hiyo nchi, ntakuonyesha ngariba niliyemtumia mimi kutengeneza hiyo maneno. Tena jamaa ni mtaalamu sana, akichonga hiyo kitu, watafurahia sana watakaobahatika kupata 'huduma' yake.
   
 5. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #5
  Nov 30, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Jaribu kuchek na Mwita25 anajuana na wazee wa mkendo, majita kuikona
   
 6. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #6
  Nov 30, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  mpeleke hospitali acha hizo.....
   
 7. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #7
  Nov 30, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  njoo kijiji wa mpindipindi huku kimanzina ulzia mzee DEGEDEGE utanpata , ngarba pekee TZ ambae ni memba jf.
   
 8. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #8
  Dec 1, 2011
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Nimecheka aisee! Umenikumbusha mbali. Mkuu, nenda umasaini. Huko kuna wataalamu tele tena wanajua kuumba hicho chombo kwa kutengeneza nundu chini. Hapo kajamaa kakikua wataipata kazi yake. Yote umasaini tu mzee.
   
 9. Tulizo

  Tulizo JF-Expert Member

  #9
  Dec 1, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 849
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Brother, binafsi huwa napenda busara zako kwenye mada kibao zilizosheheni ushauri mzuri kwa vijana, lakini kwa hili, with due respect, I beg to disagree with you...

  Sikubaliani na usemi kuwa kumtahiri mtoto bila ganzi ni kumjenga ushupavu kutokana na mila na destruri za kiafrika...Kumbuka hapo zamani suala la kutahiri lilikuwa ni sehemu tu ya maisha ambayo ndiyo yaliwajenga vijana kuwa shupavu na wenye busara. Ni mfumo mzima wa maisha brother na siyo tu kutahiri..

  Brother, pia tukumbuke binadamu tumeumbwa na uwezo wa kusahau maumivu......Mimi binafsi sikumbuki baba yangu alinitahiri kwa njia gani.. kama aliita ngariba porini kule nyanda za juu au alinipeleka Hospitali ya mission nikapata ganzi.. I have no idea.. na hilo ndilo litatokea kwa mtoto wako.. utampa maumivu leo na yeye hatokumbuka hayo maumivu miaka 20 baadaye zaidi ya historia utakayompa ambayo anaweza kuamini na pia anaweza kufikiri unamdanganya..

  Kuna njia nyingi za kujenga, kuhenzi na kudumisha Mila na utamaduni... Malezi na Maisha yetu ndio nguzo muhimu..lakini kuna vitu ambavyo tunaweza kubadili huku tukiendelea kutunza na kudumisha mila...

  Kama tutaendelea kumeza kila kitu bila kuchanganua athari zake ..basi tunaweza kudumisha utamaduni KATILI wa kitahiri wanawake ambao unaweza kuwa moja ya maajabu ya ukatili uliokubalika katika historia ya binadamu...

  Please don't make your son cry for the sake of your own pride! He deserve a little smile.........
   
 10. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #10
  Dec 1, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,334
  Likes Received: 22,186
  Trophy Points: 280
  Acha ukatili kwa mwanao, kwanini usimpeleke hospitali akapigwe ganzi ili kumpunguzia maumivu?
  Haya bwana mzee wa mila, huenda unataka kumrithisha mwanao LIDUDE la kukomeshea mabinti
   
 11. v

  valid statement JF-Expert Member

  #11
  Dec 1, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Maumivu hayaui. Kama umedhamiria kumtahiri ivo. Basi fanya kile dhamira yako inakutuma.
   
 12. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #12
  Dec 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,108
  Likes Received: 6,581
  Trophy Points: 280
  wasiliana na mwanakijiji anaweza kufanya hiyo kazi.
   
 13. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #13
  Dec 1, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Nataka ajue nini maana ya uanaume................................. hakuna kudekezana, lazima afuate nyayo za babaye
   
 14. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #14
  Dec 1, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Nipe namba yake ya simu nimtwangie
   
 15. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #15
  Dec 1, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Nimekupata mkuu, nitaku-PM
   
 16. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #16
  Dec 1, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Unajua hata mimi nimekulia umasaini, hawa wamasai wa mjini wanajua kusuka tu, nikiwauliza wansema niende wa Ma-Laigwanan
   
 17. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #17
  Dec 1, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,334
  Likes Received: 22,186
  Trophy Points: 280
  mara ya kwanza nilidhani wewe ni primitive, sasa nimegundua kuwa wewe ni PULIMITIVU
   
 18. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #18
  Dec 1, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Nimekupata mkuu, ngoja nitafakari uamuzi wangu upya, nakushukuru ndugu yangu, mimi nilijua najenga kumbe nabomoa........
   
 19. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #19
  Dec 1, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Nilishuhudia mtoto akitahiriwa Hospitalini alikuwa analia mwanzo mwisho, na niliwahi kuhudhuria sherehe za kutahiri watoto za kimila huko uzaramoni, pale shughuli ilikuwa ni chap chap ukilinganisha na hospitalini, nan watoto walikuwa hawalii kwa muda mrefu......... sasa ipi ni njia bora?
   
 20. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #20
  Dec 1, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Baba,hapa inakuwaje?
  Achana na mambo ya kizaman bwana!
  Mpeleke mdogo wangu hospitalin,kwann maumivu uliyopata ww na mtoto aonje?
  Kuwa na huruma baba!!
   
Loading...