msaada tafadhali naomba yeyote mwenye autocard app na cracks zake, im really in need

mnoel

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
210
225
Msaada tafadhali;
yeyote anayeweza kunisaidia app ya Autocard, na cracks zake, the current one.
 
Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
1,967
2,000
Msaada tafadhali;
yeyote anayeweza kunisaidia app ya Autocard, na cracks zake, the current one.
Nitafute inbox. Nitakufanyia hadi installation hapohapo ulipo Mimi nikiwa hapa nilipo. Computer yako ina sifa zipi. (RAM ngapi, na CPU ngapi)
Nina AutoCAD version yoyote unayoitaka pamoja na software zingine nyingi tu.
 
mnoel

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
210
225
Nitafute inbox. Nitakufanyia hadi installation hapohapo ulipo Mimi nikiwa hapa nilipo. Computer yako ina sifa zipi. (RAM ngapi, na CPU ngapi)
Nina AutoCAD version yoyote unayoitaka pamoja na software zingine nyingi tu.
Shukrani
 
Ram 4gb, co i3, 2.8ghz cpu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom