bintishomvi
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 1,164
- 832
Habari wapendwa, naomba ujuzi wa kutoa ya lebo ya kwenye chupa mfano Heineken na Windhoek ili nipate unafuu maana natumia muda mwingi kutoa na nachelewa kupata pesa wateja nawachelewesha.
naitaji nitoe kwa halaka kwa maji inaka siku nyingi ili ilowane itoke gundi ngumuWeka kwenye maji mkuu,
dohooKama unavyotoa bikira na lebo unatoa hivohivo we jamaa
maana natumia muda mwingi kutoa na nachelewa kupata pesa wateja nawachelewesha.
hzo lebo ukitoa then unauza chupa au?
Nenda youtube ai google how to remove label from heinkein bottlesnaitaji nitoe kwa halaka kwa maji inaka siku nyingi ili ilowane itoke gundi ngumu
asanteNenda youtube ai google how to remove label from heinkein bottles