Msaada tafadhali, Namna ya Kublock baadh ya Number za simu(Black listing)

2c2

Member
Nov 5, 2009
98
5
Wadau naombeni mnisaidie kuna baadhi ya Number sitaki zikinipigia wala kuniandikia SMS zinipate natumia program gani,, niliambiwa kuwa watu wanaotumia samsung galax wanaweza fanya hii kitu ila imeniwia ngumu kwa kutumia NOKIA LUMIA 620 Msaada Please.
 
Wadau naombeni mnisaidie kuna baadhi ya Number sitaki zikinipigia wala kuniandikia SMS zinipate natumia program gani,, niliambiwa kuwa watu wanaotumia samsung galax wanaweza fanya hii kitu ila imeniwia ngumu kwa kutumia NOKIA LUMIA 620 Msaada Please.
NOKIA nyingi, kama sio zote hazina hiyo function. Ni kweli, Samsung karibu zote huduma hiyo ipo! But all in all, jaribu kuingia kwenye Setting>>Call Setting>>Advanced Setting>>>Blacklist/Incoming Filter.
Hapa tuweke Short Break!
Ukikutana na Blacklist, ingia moja kwa moja na utapata option ya kuingiza namba kwenye Blacklist.
Ukikutana na Incoming Filter....utakutana na option zaidi ya moja....uta-select REJECT INCOMING then utaenda kwenye REJECT LIST na hapo utawahamishia wote wanaokusumbua.

NB: Huo mtiririko nilioandika unaweza usiwe 100% correct lakini jambo la kuzingatia, tafuta hizo key words in RED
 
Kama ungekuwa unatumia samsung hiyo feature ipo ndani ya simu wala haihitaji app
 
jman Msi Kremu Kua Nokia Haina Hyo Kitu!! hyo Nokia Yake Inatumia Windows Kwahyo Inakua Tofaut Na Hz Symbian!!!! pia It Means Hata Samsung, Htc Na Hata Huawei Znazo Tumia Hyo Operating System Hazina Hio Kitu!!! so Kila Kitu Useme Nokia!!!

Windows Phone Support said:
''It's not possible in Lumia or any WP7 phone and I
doubt Microsoft will allow apps such as call blockers
and call recorders which interact with telephony
functions. If it is any consolation to you it is also not
possible for iphones which are not jailbroken. There
are call blockers for Symbian, Android, MeeGo and Bada. Both WP7.5 and ios are closed os where
developers work in a sandbox environment and many
apps which interact directly with the hardware are
not allowed.''
 
mkuu jaribu magik mail ipo store ila sjajua kama mitandao ya tanzania wanaisuport. Hio ina feature za kublock calls
 
Dah! Hii safi sana. Kwa sisi tunaotumia blackberry je? Msaada wakuu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kuna apps kibao za blscklist pamoja na antivirus zinazopiga iyo kitu..funiko na karspersky maana mtu akipiga kama yuko kwa blacklist ataambiwa kitu kiko busy.. unlike apps na antivirus nyingine ambapo ikiblock inaonekana kama vile umemkatia mtu..maana itaita kidogo then itakakatwa..
 
Nashkuru sana wadau kwa msaada wenu wa kitaalamu ntajaribu njia zote alafu ntatoa mrejesho wa njia gani imekuwa ya mafanikio kwangu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom