Marvelous King
JF-Expert Member
- Jan 7, 2019
- 662
- 1,284
Wakuu msaada mwenye kitabu Cha Chand upande wa physics ,,nahitaji kuiona front cover yake msaada tafadhali.
#WAHUNI SIO WATU WAZURI
#WAHUNI SIO WATU WAZURI
Dogo upo wapi
Nenda stationary iliyokaribu yako, utaviona.
Google mzee..kuna chani XI na XII
United Fan
Shukran mkuu,Umenikumbusha mbali kidogo mdogo wangu, kwa kuwa uko mbeya siwez kukueleza vinapopatikana huko mbeya. Ila komaa piga kitabu, kaza msuli mdogo wangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
naona kinasumbua hapa kukiweka. nitumie email address nikutumie humotatizo la hiki nilichokiweka baadhi ya page ni blank
Sawa mkuu, lakini sijakuelewa umeweka wapi?tatizo la hiki nilichokiweka baadhi ya page ni blank