Msaada tafadhali: NACTE watafungua lini maombi ya kujiunga na vyuo vya kati ukiacha vya Afya?

H

Hahahahaha dilisha linakalibia kufungwa sisi huku full pressure tuuh tarehe 26 /8/2020 majina yanatoka tunafunga na kusali tuuh kitaha sio poa
Ni vyuo vyote au , ebu nieleze. Bado kuna muda kama ni hivyo.
 
Nioneshe wapi ulipoandika watoto wa ndugu jamaa na marafiki(extended families..)
Inaonesha watoto wa ukoo nzima we ndo unawapangia na kuwaongoza kozi za kusoma, naamini we ndo educated wa kwanza kwenye ukoo wenu Hongera sana
unaanza kuvuka mipaka sasa
 
Sio vyuo vyote ni vya Afya tuh tena vya serikari tuuh tarehe 15/8/2020 dirisha linafungwa tarehe 26/8/2020 majina yanatoka dah mungu asaidie tuuh
nimeona, actually ni september 15 ndiyo wanafunga, bado muda upo wa kutosha kuomba
 
nimeona, actually ni september 15 ndiyo wanafunga, bado muda upo wa kutosha kuomba
Ni kweli kwa vyuo binafsi na vyuo vya serikali ambavyo una apply direct chuoni ndio mupaka September huko 15 lakini Nacte jumamosi hii wanafunga dirisha 15/8/2020 sijajua may be na wenyewe wataweka round ya pili let wait and see apply mapema uhakikishiwe kuchaguliwa uandae ada mapema
 
ASANTE KWA USHAURI MWEMA. Afya ndiyo wanafunga 15/8. Normally huwa kuna round ya pili lkn kwa vyuo vyenye ushindani nafasi zinajazwa mapema sana!
 
Back
Top Bottom