Jamani laptop yangu hp mouse yake ya kugusa (built in mouse) haidetect, imeanza ghafla nilipo washa nikashangaa kila nikigusa na kidole mshale upo kimya.
Imenibidi nitafute mouse ya kawaida ya kuchomeka ambayo wakati mwingine inanisumbua kama nipo juu kwa juu.
Tafadhali mwenye ujuzi anijuze
Imenibidi nitafute mouse ya kawaida ya kuchomeka ambayo wakati mwingine inanisumbua kama nipo juu kwa juu.
Tafadhali mwenye ujuzi anijuze