Msaada tafadhali mouse haifanyi kazi

Paul S.S

JF-Expert Member
Aug 27, 2009
6,402
3,242
Jamani laptop yangu hp mouse yake ya kugusa (built in mouse) haidetect, imeanza ghafla nilipo washa nikashangaa kila nikigusa na kidole mshale upo kimya.
Imenibidi nitafute mouse ya kawaida ya kuchomeka ambayo wakati mwingine inanisumbua kama nipo juu kwa juu.
Tafadhali mwenye ujuzi anijuze
 
Peleka kwa fundi acha ubahili
mkuu is that ur best answer? If u know nothing about it why dont keep quet.
Inamaana wote wanao uliza msaada humu ndani hawawaoni mafundi, au ni kwa mimi tu?
Nauliza kwasababu inawezakuwa nimebonyeza sehemu bahati mbaya nika dissable,
 
Unamaanisha Touch pad, unachotakiwa kufanya; kutegemea na operating system yako ambayo hukuitaja...Ingia katika device manager(ipo kwa Computer/my computer->properties) tafuta mice/pointing devices...jaribu ku update au ku re-install drivers za hiyo kitu. Wapi utapata drivers nenda kwa website ya hiyo laptop yako.
 
laptop yako ni aina gani? hio sio mbovu kuna sehemu umeibonyeza kustopisha hiyo mouse9touch) isifanye kazi sema sijui ni aina gani ningekuelekeza jinsi ya ku unlock
yani umeilock tu
 
Unamaanisha Touch pad, unachotakiwa kufanya; kutegemea na operating system yako ambayo hukuitaja...Ingia katika device manager(ipo kwa Computer/my computer->properties) tafuta mice/pointing devices...jaribu ku update au ku re-install drivers za hiyo kitu. Wapi utapata drivers nenda kwa website ya hiyo laptop yako.
anaimanisha onboard yaani ile ya laptop siyo extenal sijui kitaalam inaitwaje....
 
Unamaanisha Touch pad, unachotakiwa kufanya; kutegemea na operating system yako ambayo hukuitaja...Ingia katika device manager(ipo kwa Computer/my computer->properties) tafuta mice/pointing devices...jaribu ku update au ku re-install drivers za hiyo kitu. Wapi utapata drivers nenda kwa website ya hiyo laptop yako.
Mkuu thanx very much, i did it,
unajua tatizo nilikua sijui hata kama inaitwa touch pad, baada ya post yako nika google "hp laptop touch pad does not work" nikakutana na ma solution ya kumwaga, kimsingi ni kama ulivyo eleza hapo juu.
thanx again
 
kama hp utakuwa uliilock mwenyewe bila kujua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom