Msaada Tafadhali: Mkewe Hajisikii!!!

kasheshe smthing needs to be done haraka mno huyo mama anachakachuliwa kwingine na mtu ambaye anamfeel kuliko anavyomfeel mumewe
 
Kama Kaka yako alikua mwanzoni na sasa hivi hali tena ajue kabisa kuna jamaa anachakachua kwa ufundi wa hali ya juu na shemejio kesha ambiwa kuwa hata kama kaka yako atataka asimpe....akimpa kaka yako shemeji yako na huyo Mchakachuaji kwisha habari....So hapo shemeji kachagua Pwani na kaamua kukosa Bara....mwambie kaka yako kuwa shemejia yako kicheche ampige chini alete mwingine.....

gud point,infedelity hitake place yake!
 
kasheshe smthing needs to be done haraka mno huyo mama anachakachuliwa kwingine na mtu ambaye anamfeel kuliko anavyomfeel mumewe
Hili ndio tunalifanyia uchunguzi!
 
Miaka minne.

duuhhh mbona kidogo hivyo kwa mapenzi kuanza kupungua...
labda huyo mkeo she is insecure about her body...
maanake kama mwanamke hajipendi ni ngumu sana kumpenda au kumfurahisha mtu mwingine...
 
Hili jukwaa samtaims linafurahisha sana... haya ngoja tijisomee ati
 
sio kweli bwana...
tukikaa kimya lazima kuna jambo,
kukiwa na communication ndani ya nyumba,ndoa haiwezi kufikia hatua mbaya namna hii..

Bei yake sasa hiyo.................unauliza kitu unatazamwa tu, mtu asemi kitu
Nasikia ati hii ndio silaha kuu ya pili ............ya kwanza ni kunyima mchezo
 
duuhhh mbona kidogo hivyo kwa mapenzi kuanza kupungua...
labda huyo mkeo she is insecure about her body...
maanake kama mwanamke hajipendi ni ngumu sana kumpenda au kumfurahisha mtu mwingine...
Mpenzi sasa huku kutojipenda kunaanzia wapi katikati ya ndoa.......... mie nkadhani kama
mtu hajipendi basi ndio tangia mwanzo ...........au alikuwa amejivika ngozi ya kondoo
mpaka aingie ndani?!
 
Nimeipenda avatar yako ya leo.................lakini ile ya siku zote imetulia......lol!!

duuuhh hiyo iliuwa dedication kwa mtu hapa JF.....................
kwa siku ya leo tu........
usijali ntakurudishi AD wako wazamani.....hahahhah lol
 
Mpenzi sasa huku kutojipenda kunaanzia wapi katikati ya ndoa.......... mie nkadhani kama
mtu hajipendi basi ndio tangia mwanzo ...........au alikuwa amejivika ngozi ya kondoo
mpaka aingie ndani?!

mmmmmhhhh baba watoto... wakati hatujaoana nilikuwa na shape nzuri..
wakati wa winter navaa tights na boots....
wakati wa summer niko na bikini ....
halafu we ukapanda mahindi...
tulipoyavuna tu...
baridi ikazidi nikawa najitundikia blanketi wakati wa winter..
na summer kukawa hakuna jua ikabidi nipige jinsi na jacket nikienda beach...
haya mambo yanatokea sana tu baba watoto...
na hapo we ndo ukaanza kunipa mgongo...
ulizoea kumenyewa ndizi sasa nakupa na maganda..
 
[COLOR=darkgreen said:
hashycool;[/COLOR]1326986]dieing to know whos that lucky man.....[/QUOTE

mmmhhh naona leo umeamua kunitingia.... safi
umependeza

mmmhhh siwezi sema ni nani lakini ni mmja kati ya walio ni PM jana ...
kwa hiyo ntaondoa hiyo avatar .....lol
 
Back
Top Bottom