Msaada tafadhali:Kwa anemfahamu Geoge John Mbena.

Emanuel14

Member
Sep 7, 2013
32
10
Samahani labda nimetumia jukwaa silo ila naomba mwenye kumfahamu mtajwa hapo juu au ndugu yake yeyote ani pm. Kuna mambo ya msingi ya kufanyanyia kazi. Sio lazima ujibu kama haikuhusu ni bora uache.
 
Nahisi kulisikia jina hili mahali fulani, kwani ni nani labda,
ungeweka maelezo zaidi yanayoweza kusaidia upatikanaji wake...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom