Msaada tafadhali: Kupata Internet Access ktk simu kwa kutumia line ya Vodacom

Godlisten Masawe

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
738
283
Wanabodi habari zenu;
Natumia line ya vodacom ktk simu yangu ila sipati internet access? nimejaribu bila mafanikio kwenda "mobile network" then "internet access point" nimejaribu kufanya configuration tofauti tofauti but imeshindikana kupata internet access. Msaada please.
 
Kwa maelezo hayo huwezi kupata internet maana aina ya simu umweweka siri, operating system,siri yako! Sasa utapataje msaada?
 
Wanabodi habari zenu;
Natumia line ya vodacom ktk simu yangu ila sipati internet access? nimejaribu bila mafanikio kwenda "mobile network" then "internet access point" nimejaribu kufanya configuration tofauti tofauti but imeshindikana kupata internet access. Msaada please.

Toka lini hupati huduma mkuu? Siku hizi hiyo huduma yao ya mtandao naona inakumbwa kumbwa na kwi kwi!
 
  • Go to your Android's main Settings.
  • Under Wireless & Networks, go to "mobile networks." You many need to hit "more settings" to get to this option.
  • Tap on Access Point Names (that's what APN stands for).
EDIT APN CONFIGRATION ZA WAP KAMA ZIPO THEN SET KAMA HIVI

  • Name: VODACOM
  • APN: INTERNET
  • Proxy:
  • Port:
  • Username:
  • Password:
  • Server:
  • MMSC:
  • MMS Proxy:
  • MMS Port:
  • MCC:
  • MNC:
  • Authentication type:
  • APN Type:
KAMA HAKUNA CONFIGURE ZA WAP THEN Press menu, and then hit "New APN." THEN JAZA KAMA HAPO JUU
 
  • Go to your Android's main Settings.
  • Under Wireless & Networks, go to "mobile networks." You many need to hit "more settings" to get to this option.
  • Tap on Access Point Names (that's what APN stands for).

EDIT APN CONFIGRATION ZA WAP KAMA ZIPO THEN SET KAMA HIVI

  • Name: VODACOM
  • APN: INTERNET
  • Proxy:
  • Port:
  • Username:
  • Password:
  • Server:
  • MMSC:
  • MMS Proxy:
  • MMS Port:
  • MCC:
  • MNC:
  • Authentication type:
  • APN Type:

KAMA HAKUNA CONFIGURE ZA WAP THEN Press menu, and then hit "New APN." THEN JAZA KAMA HAPO JUU
 
Wanabodi habari zenu;
Natumia line ya vodacom ktk simu yangu ila sipati internet access? nimejaribu bila mafanikio kwenda "mobile network" then "internet access point" nimejaribu kufanya configuration tofauti tofauti but imeshindikana kupata internet access. Msaada please.

  • Go to your Android’s main Settings.
  • Under Wireless & Networks, go to “mobile networks.” You many need to hit “more settings” to get to this option.
  • Tap on Access Point Names (that’s what APN stands for).

EDIT APN CONFIGRATION ZA WAP KAMA ZIPO THEN SET KAMA HIVI

  • Name: VODACOM
  • APN: INTERNET
  • Proxy:
  • Port:
  • Username:
  • Password:
  • Server:
  • MMSC:
  • MMS Proxy:
  • MMS Port:
  • MCC:
  • MNC:
  • Authentication type:
  • APN Type:

KAMA HAKUNA CONFIGURE ZA WAP THEN Press menu, and then hit “New APN.” THEN JAZA KAMA HAPO JUU
 
Back
Top Bottom