Msaada tafadhali kuhusu Windows 10

Simbamteme

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
784
2,063
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, zamani nilikuwa natumia window 7 na ilikuwa inafanya kazi poa tu iwe kwenye chaji au haipo kwenye chaji. Sasa jana nime update kwenda window 10, cha ajabu nikiwa nimechomeka laptop kwenye chaji,MOUSE inakuwa nzito kumove, nikiitoa kwenye chaji inafanya kazi vizuri tu.Nimejaribu kwenda SETTING lkn sijaona chochote;kwa anaejua cha kufanya naomba msaada jamani, najua wataalamu wa IT wapo wengi humu. Naomba kuwasilisha
 
Rollback kwenye windows 7, hiyo inawezekana kabla mwezi hujaisha. Otherwise fanya fresh installation ya windows10 usifanye updates mara nyingi inakuwa unstable
 
sawa kaka... nafanyaje sasa? manake wengine tunajua kukop na kupaste tu, kuangalia movie na kudownload basi.... hvyo vngne hata idea navyo sina
 
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, zamani nilikuwa natumia window 7 na ilikuwa inafanya kazi poa tu iwe kwenye chaji au haipo kwenye chaji. Sasa jana nime update kwenda window 10, cha ajabu nikiwa nimechomeka laptop kwenye chaji,MOUSE inakuwa nzito kumove, nikiitoa kwenye chaji inafanya kazi vizuri tu.Nimejaribu kwenda SETTING lkn sijaona chochote;kwa anaejua cha kufanya naomba msaada jamani, najua wataalamu wa IT wapo wengi humu. Naomba kuwasilisha

kwa kuangalia hili si tatizo la windows, jaribu kufata hii solution ya gooegle.

wakati unachaji hio laptop hakikisha laptop inakuwa mbali kabisa na adapter yake, kwa lugha rahisi hakikisha adapter imenyooka yote na laptop haikaribiani na ile adapter uone kama tatizo litaendelea
 
ok, ngoja nijaribu... umeme umekatika, ngoja urud
 
Nenda kwenye update and security na uangalie rollback to windows 7. Hii option ipo ndani ya mwezi mmoja tu tangu umeUpdate
 
dell ina minyooo ukifanya upgrade kwenda windows 10 ushaur wa bure tumia w8.1
 
nina cm aina ya window phone 640 xl nikijarbu kuupdate window ten inakubal inadowload ila ikifa sehemu ya installation inafeli msaada kwa anayejua
 
Hellow simbamteme
Kosa ulilofanya hapo mpka inakuwa mose nzito hapo wakat una install window 7, ilivyo maliza kuistall hakuweka driver za dell zenyewe.ukuwa umeistall driver pack solution.

Sasa chakufanya hapo unatakiwa kuiformat iyo windows 10.

Ila kabla ya kuitowa iyo windows 10 unatakiwa kufanya back upkwanza kwenye iyo pc yako kama ulikuwa umeweka partition toa vitu vyako.maana nimekuambia ivi windows 10 inachezo wa kubadili mfumo kwenye harddrive kwaiyo itakuta udelete partion zako iwe kitu kimoja ndio uinstall window mpya.

Ukishamaliza kupiga window ndio u download driver kwenye site ya dell wenyewe ndio uzi install, hapo utakuwa umesha kufix tatatizo la mose
 
thanx kaka.... imekubali.. asante sana
 
Back
Top Bottom