Simbamteme
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 784
- 2,063
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, zamani nilikuwa natumia window 7 na ilikuwa inafanya kazi poa tu iwe kwenye chaji au haipo kwenye chaji. Sasa jana nime update kwenda window 10, cha ajabu nikiwa nimechomeka laptop kwenye chaji,MOUSE inakuwa nzito kumove, nikiitoa kwenye chaji inafanya kazi vizuri tu.Nimejaribu kwenda SETTING lkn sijaona chochote;kwa anaejua cha kufanya naomba msaada jamani, najua wataalamu wa IT wapo wengi humu. Naomba kuwasilisha