Inategemea na pesa yako Acer nyingi zenye matatizo ni zile za bei poa, same as Dell, HP nk.
sijawahi tumia hiyovp kuhusu aina hii TravelMate 2490 series?
Nakubaliana na wewe mkuu, ninamiliki Acer Aspire moja hivi, ina 2GB RAM, 2.2 GHz processor, niliinunua kwa Tsh. 760,000/= tu. Ina mwaka 1 na miezi 6, iko poa sana, sipati maumivu na sioni dalili za kupata maumivu
Ninatumia Acer, sijawahi kupata tatizo lolote.
Laptop brand zote inategemea zaidi na bahati yako, search specific model uone kama ina defects zozote.
Yangu ni 5742G nilichagua kwa vile ina graphics card mbili na inaswitch automaticaly, ukiwa unatumia program za kawaida inatumia simple graphics card haili battery, ukilaunch Call of Duty au Fifa 13 inaswitch kwenye Nvidia GForce 540M automatically uweze kucheza. Nairecommend sana hii Laptop.
Hiyo ningekushauri usiinue, sijawahi itumia ila nimeona specifications zake online hazijakaa sawa, cpu inatumia Intel Celeron siyo nzuri hata kidogo, HDD=60 , na memory=512. Halafu watumiaji wengine wanailalamikia kuwa ina matatizo ya backlight kuungua na Keyboard. Uamuzi ni wako mkuu!!asante pia kwa hilo mkuu. Ila niliyoipata mimi ni Acer TravelMate 2492. Vp kuhusu hii?