mbenda said
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 1,019
- 1,945
Habari wakuu,
Mimi nilikuwa na TIN toka mwaka 2011 na biashara ile sikudumu nayo hata mwaka kwa hiyo leseni ya biashara na tin yake vikawa vimeishia hapo, kipindi kile nafungua biashara makadilio ya Kodi ni sh 35000.
Sasa mwaka huu naitaji kuanza kutumia TIN yangu hapa nawaza kwenda TRA nami nipo Dar lkn tin niliipata mkoa mwingineee.
Nilipokwenda TRA ya huku Dar wamenimbia niende mkoa nilioipata TIN, nimekuja kwenu mnisaidie kwa uzoefu wenu makadilio yatakuwa kiasi gani?, nataka nijipange kabla sijakwenda huko.