Msaada tafadhali kuhusu TIN

mbenda said

JF-Expert Member
Apr 13, 2019
1,019
1,945
Habari wakuu,

Mimi nilikuwa na TIN toka mwaka 2011 na biashara ile sikudumu nayo hata mwaka kwa hiyo leseni ya biashara na tin yake vikawa vimeishia hapo, kipindi kile nafungua biashara makadilio ya Kodi ni sh 35000.

Sasa mwaka huu naitaji kuanza kutumia TIN yangu hapa nawaza kwenda TRA nami nipo Dar lkn tin niliipata mkoa mwingineee.

Nilipokwenda TRA ya huku Dar wamenimbia niende mkoa nilioipata TIN, nimekuja kwenu mnisaidie kwa uzoefu wenu makadilio yatakuwa kiasi gani?, nataka nijipange kabla sijakwenda huko.
 
Mimi sijaifunga ila niliacha kuitumia, hapa najipanga niende Moro ,nilitamani kujua deni langu kabla ndio maanq nimeomba kama kuna wataalam huku wanisaidie nitakuwa nadaiwa sh ngapi?

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Habar wakuu, mm nilikuwa na tin toka mwaka 2011 na biashara ile ckudumu nayo hata mwaka kwa hiyo leseni ya biashara na tin yake vikawa vimeishia hapo, kipindi kile nafungua biashara makadilio ya Kodi ni sh 35000 ,

Sasa mwaka huuu naitaji kuanza kutumia tin yangu hapa nawaza kwenda tra nam nipo dar lkn tin niliipata mkoa mwingineee . nilipokwenda tra ya huku dar wamenimbia niende mkoa nilioipata tin, nimekuja kwenu mnisaidie kwa uzoefu wenu makadilio yatakuwa kiasi gani?, nataka nijipange kabla cjakwenda huko

Makadirio ya nini?
 
1. Kama ulipewa cheti cha TIN irudishe maana kwa wakati huo lazima utakuwa na Tin Certificate ya zamani

2. Andika barua ukielezea unataka kufungua biashara pamoja na sababu kwa nini hukufika kufanyiwa makadirio toka wakati huo (hapa uwe na uthibitisho wowote ule mf. Uliumwa basi nakala za hospital, kuuguza, kuibiwa na n.k evidence yoyote)

3. Peleka na subiri majibu watakupigia simu ufike ofsini, ila na ww ukiona kama week imeisha hakuna majibu fika ofisini kwao tena ufatilie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asantee kwa ushauli

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kama ulifunga kienyeji bila kuwataarifu una bonge la deni mazeeee
Me nilifunga kienyeji mwaka 2011 nilipata TIN , leseni sikuchukua makadirio yalikuwa 70,000 mwaka 2013 biashara ilifirisika . kuna kipindi kama sio mwaka huu mwaka Jana TRA walinitumia SMS niende ofisini kwao nadaiwaa sikwenda unanishauri nini?
 
Kama unaweza kulipa mpaka fines nenda
 
Me nilifunga kienyeji mwaka 2011 nilipata TIN , leseni sikuchukua makadirio yalikuwa 70,000 mwaka 2013 biashara ilifirisika . kuna kipindi kama sio mwaka huu mwaka Jana TRA walinitumia SMS niende ofisini kwao nadaiwaa sikwenda unanishauri nini?
Fanya uwende ukaifunge kisha lipa deni taratibu

Back
Top Bottom