asante sana. Nisaidie Zaidi, nimenunua simu mpya. nataka kuhamishia contacts zangu kwenye simu mpya, nifanyeje? hasa ndilo lengo la kuomba msaada ili niweze kuhifadhi contacts google akaunti, then baadaye niyapakue kwenye simu mpya.Nenda Playstore, Pakua Google Contacts, ukishamaliza ku install nenda Settings, iruhusu ifanye backup kwenye Google account yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Fanya kama ulivyoelekezwa hapo juu, alafu kwenye hiyo simu mpya weka same email address na majina yote yatakuwepoasante sana. Nisaidie Zaidi, nimenunua simu mpya. nataka kuhamishia contacts zangu kwenye simu mpya, nifanyeje? hasa ndilo lengo la kuomba msaada ili niweze kuhifadhi contacts google akaunti, then baadaye niyapakue kwenye simu mpya.
thanks a lot, ebu dadavua zaidi kidogo process ambayo natakiwa niifaye kwenye simu mpya kuweka majina hayo toka google akauntialafu kwenye hiyo simu mpya weka same email address na majina yote yatakuwepo
Hakuna process yoyote, synchronisation inafanyika moja kwa moja, cha msingi ubadili kwenye contacts settings majina mapya yawe yanaingia moja kwa moja Google badala ya kuingia kwenye handset au simcard.thanks a lot, ebu dadavua zaidi kidogo process ambayo natakiwa niifaye kwenye simu mpya kuweka majina hayo toka google akaunti
Naajaribu nitakupa mrejesho incase nitakwama. thanksHakuna process yoyote, synchronisation inafanyika moja kwa moja, cha msingi ubadili kwenye contacts settings majina mapya yawe yanaingia moja kwa moja Google badala ya kuingia kwenye handset au simcard.
nimekwenda settings, nikaclick accounts------ ikaja google------ikaja gmail yangu-----------vikaja calendar, contacts,drive, gmail , google play movies etc etc. Nafanyaje sasaNenda Playstore, Pakua Google Contacts, ukishamaliza ku install nenda Settings, iruhusu ifanye backup kwenye Google account yako
Sent using Jamii Forums mobile app