sasa kama wazungu wanaoana,je ni nani anae mchumbia na kumtolea mahali na pia ni nani aneruhusiwa kutoa taraka? Hapo ndio utajua maana ya kuoa na kuolewa.kiafrika wanaume wanaoa,wanawake wanaolewa
kizungu..'wanaoana'.
sasa kama wazungu wanaoana,je ni nani anae mchumbia na kumtolea mahali na pia ni nani aneruhusiwa kutoa taraka? Hapo ndio utajua maana ya kuoa na kuolewa.
Naomba mnisaidie..!
The boss kamaliza tayari hapo juuNaomba mnisaidie..!
The boss kamaliza tayari hapo juu