Msaada Tafadhali:Hivi huwa ni Kuoa;Kuolewa au Kuoana??

Jaber Job
Mtazamo wangu ni huu:

KUOA:
1. Kunafanywa na mwanaume AU
2. Kunafanywa na mwanamke au mwanaume mwenye pesa ya kufanikisha tukio la ndoa AU
3. Kunafanywa na aliyetoa proposal na kufanikisha ndoa.

KUOLEWA:
1. Kunafanywa kwa mwanamke AU
2. Anafanyiwa mwanaume au mwanamke asiye na pesa ya kufanikisha tukio la ndoa Au
3. Anafanyiwa yule aliyepewa proposal ya ndoa na kufanikishiwa tendo hilo

KUOANA
1. Kuleta usawa kwa aliyeoa na aliyeolewa
2. Ni desturi ya kizungu
 
Last edited by a moderator:
Bila kujali wewe ni mwanaume au mwanamke tunaweza kutafsiri hivi. 1. Ukilipa mahali fahamu kuwa unaoa. 2. Ukilipiwa mahali fahamu kuwa unaolewa. 3. Msipolipiana mahali, au ukasamehewa kulipa mahali yote, fahamu kuwa mmeoana, yani haki sawa
 
Hata wazungu wanaoa na kuolewa. Ni vile tu wamekosa maneno ya kutosha kulielezea hilo. Plus baada ya ndoa mnajaribu ku strike the balance hivyo wanasema..wameoana.
 
Chagua iliyo sahihi ndio uitumie ..!hizo zote ni slogan tu, shughuli ni moja tu, kulalana bac!!!!!!
 
Back
Top Bottom