Msaada: Bajaji hii imenifanyia uhalifu

Nenda kwanza ukatoe taarifa polisi kuhusu mmiliki kujulikana hilo ni swala rahisi sana ukizingatia number za usajili umefanikiwa kuzipata.
 
Ungetafuta njia ya kuifatilia mpaka wanapopaki.tatizo hawachelewi kusema nilimpa deiwaka.
 
Jf ya siku hizi kama sio upumbavu basi majibu yanayotolewa hayahusiani na mada, kama huna cha kumshauri ni vema kukaa kimya kuliko kuandika mashudu.

Nenda polisi mkuu utasaidika.
 
Jf ya siku hizi kama sio upumbavu basi majibu yanayotolewa hayahusiani na mada, kama huna cha kumshauri ni vema kukaa kimya kuliko kuandika mashudu.

Nenda polisi mkuu utasaidika.
Kweli zamani watu walikua wanatumia vizuri JF, ilikua mada ikitolewa, comment ya kwanza tu ilikua inatoa majibu. Siku hizi utasikia nawahi siti.
 
Back
Top Bottom