Msaada tafadhali-haka ka-simu ka Nokia Asha kananitoa jasho kweli............... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada tafadhali-haka ka-simu ka Nokia Asha kananitoa jasho kweli...............

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mtambuzi, May 3, 2012.

 1. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #1
  May 3, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Ni wiki sasa huyu mwanangu Cantalisia na wenzake King'asti, TaiJike, Asnam, na yule mnoko MwanajamiiOne wananikwepa kunifundisha namna ya ku-log in kwenye JF na haka ka-simu kangu nilikokanunua juzi ambako ni kageni kwangu..................

  Ahaaa ndio njama zenu nishindwe kubofya JF nikiwa nje ya home eh.............................!

  Ngoja wadau humu wanipe mauajanja................LOL
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  ndio nokia gani hiyo?
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  May 3, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Nokia Mwana Asha?
   
 4. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Na bado, soon tutablock sms, ukituma ama kutumiwa zinaingia kwa MJ1! Mwaka huu lazma tukunyoroshe (ile ofa yangu ya outing iko pale pale, usijikaushe eeh)
   
 5. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #5
  May 3, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Nimeambiwa eti ni MADE IN INDIA................................
   
 6. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #6
  May 3, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,674
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #7
  May 3, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Nyie subirini waje wataalamu hapa mafundi simu wa mtaani.............watanipa ILMU...................
   
 8. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #8
  May 3, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  \
  Boksi lake limeandikwa Nokia Asha 200
   
 9. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #9
  May 3, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Nimeambiwa ni ya line mbili lakini naona sehemu moja tu ya kuweka line.............Nimepigwa changa la macho nini?
   
 10. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #10
  May 3, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Halafu hata sijui alama ya @ na zile nyingine zinapatikana wapi.......................!
  Mweh! Cantalisia weeee...........hebu njoo unipe ilmu ya kutumia hii simu tafadhali.............. Nitakurushia M-Pesa ya kwendea Mlimani City kesho
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #11
  May 3, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,046
  Likes Received: 6,492
  Trophy Points: 280
  Ndo matokeo ya jpili hayo nilijua watakuibia tu simu.
   
 12. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #12
  May 3, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,046
  Likes Received: 6,492
  Trophy Points: 280
  Cantalisia usimfundishe mpaka asema yule aliempora salary yote.
   
 13. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #13
  May 4, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Babu, thi ulithema tukifika home utanipa thim nichedhe game. Cantalisia king'asit Asnam MwanajamiiOne huyu Baba yenu Mtambuzi nilikuwa naye jana amepewa thim hiyo na Jibibi flan hivi si yule bibi wa home.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #14
  May 4, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Mama shikamoo, babu hakuporwa salary yake alimpatia yule bibi wa jana kule kwenye chips na barafu ya DJ.
   
 15. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #15
  May 4, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Na nimegoma yani wee mzee Mtambuzi mie nalilia blackberry kila siku ukaniletea hii ya kichina eti ya line 6 sipati hata JF alafu wewe umejinunulia hiyo sikufundishi ng'o,si unaniambia mie mnoko na itapotea tu hiyo ngoja!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #16
  May 4, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Sitaki yani umenirushia mia tano tu sitaki nirushie msimbazi labda ntakufundisha kulog in ila kwenye PM sikufundishi mpaka uongeze hela!
   
 17. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #17
  May 4, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Kaibiwa wapi wakati alimhonga mhudumu amfiche tusimuone na tukamkata vile vile!
   
 18. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #18
  May 4, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Nimemgomea eti kanipunguzia mia tano!
  Anahangaikaje nayo!hata kutuma msg hawezi lol!
  Akiichoka tu nnayo!
   
 19. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #19
  May 4, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Tushamstukia @TaiJike ndio maana nimemgomea,anataka awe anachati naye PM!
   
 20. Asnam

  Asnam JF-Expert Member

  #20
  May 4, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 4,268
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  lol mi namiliki samsung galaxy nina maujuzi ya kufa mtu we sema shilingi ngapi unanipa nikuelekeze au nipe hiyo nikupe nyingine ya tochi hiyo ndo saizi yako utawezana nayo bila matatizo.
   
Loading...