Msaada tafadhali,dont just view reply

Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,324
2,233
wadau kuna ndugu yangu ana interview tarehe 30 TRA na anataka kujua customs zote za TRA.

Msaada please anaeweza kum-mention please help!
 
Since umesema tusipite bila kupost chochote,
I don't know! Somebody will post who knows, hopefully!
 
wadau kuna ndugu yangu ana interview tarehe 30 TRA na anataka kujua customs zote za TRA.

Msaada please anaeweza kum-mention please help!

Nenda: http://www.tra.go.tz/

Kila kitu kimo humo, ukihitaji msaada zaidi, utasema.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom