Msaada tafadhali, don't just view reply please

Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,324
2,238
wadau kuna ndugu yangu ana interview tarehe 30 TRA na anataka kujua customs zote za TRA.

Msaada please anaeweza kum-mention please help!
Ame google lakini hakuna chochote tunacho ona.
 
Kwa nini asienda hapo hapo akajaribu kuongea na mapokezi kuna kuaga na vipeperushi vongi tu i think they can be helpful!!! karibu kitimoto hapa mwenge
 
hizo kazi zina wenyewe, wengine ni wajaza takwimu tu, kama ni mmoja wao basi kazi anayo
 
Kwa nini asienda hapo hapo akajaribu kuongea na mapokezi kuna kuaga na vipeperushi vongi tu i think they can be helpful!!! karibu kitimoto hapa mwenge

ulululuuu......mwenge sehemu gani?
 
kaka mbona unataka kuanzisha darasa....!! eheee..!! unataka kujua nini haswa be specific cos TRA hawawezi kukuuliza maswali ka upo shule unasoma taxation bwana.
 
ulululuuu......mwenge sehemu gani?

Hapa Adjacent na Kwa Kakobe, kwa mama kamche...dah, kitimoto ilikua tamu sana pia niliwaona wadau wengine wanajadili ishu za JF japo kiuoga uwoga
 
wadau kuna ndugu yangu ana interview tarehe 30 TRA na anataka kujua customs zote za TRA.

Msaada please anaeweza kum-mention please help!
Ame google lakini hakuna chochote tunacho ona.

Mie nina documents in hard copy ambazo zingeweza kumsaidia..jaribu tuwasiliane mapema
 
kaka mbona unataka kuanzisha darasa....!! eheee..!! unataka kujua nini haswa be specific cos TRA hawawezi kukuuliza maswali ka upo shule unasoma taxation bwana.[/QUOT]

hii je itakusaidia
• vituo vya Forodha vya Namanga, Sirari, Tunduma, Kasumulu, Isaka, Horohoro, KIA, DIA, Tarakea, Holili, Bandari Mwanza, Bandari Tanga na Bandari DSM
 
Back
Top Bottom