Msaada tablet

Hebie

JF-Expert Member
Jul 29, 2012
1,415
859
TECNO DP7CPRO nikipiga inaandika cellular network not available, tafadhali nisaidie na hata nikigiwa sipatikani
 
Nisaidie link ya scatter file maana za kriztekblog zina tatizo hilo
Hii ikopoa kabisa:-
MEGA
Tecno Droidpad 7C Pro (DP7CPRO-KC07T-A1-L-20160513) (Miracle Box Dump)

Flash na miracle box kama tatizo Litakuwa bado lipo pale pale basi ujue wale jamaa zetu watakuwa wameilamba so cheza na Mtk engineering mode at your own risk
 
Hilo ni la kriztekblog maana ninalo!!
Nimeflash kwa hilo ila halijaondoa tatizo la USSD na kupia kupokea wala kutoka sms yaani unachoweza kufanya ni kusurf net tu.

Naomba mnielekeze jinsi ya kufanya na Mtk engineering.
Chief-Mkwawa, drphone, Chipukizi, UncleUber, Shaffin Simbamwene, Mwl.RCT
 
Ungeenda Tecno makao makuu wangekufanyia buree kabisa matatizo kama hayo
Kutokana na maelezo yao hao jamaa inaonyesha kwamba tatizo walokumbana nalo linaweza kuwa imei za device zao zipo backlisted ndiyo maana haziregister network sasa unataka kutuambia hao Tecno makao makuu wanachange Imei siku hizi?
 
Wanafanya na hiyo kama imei ime fail inakuwa imei repair na si imei change ko ni kitu ambacho wanafanya maana hilo wewe fundi ndo unaufahamu tatizo gani ila mtu ambaye hana knowlegde yeyote akipeleka pale akiwaambia simu inatatizo hili na hili wao wanakuuliza iko under warrant hapo hata kama haipo ni kuongopa tu maana hawana kithibitisho then wanakuandikia karatasi utaambiwa ufate lini na ni free ishu za software brick kama za hardware issues kidogo ndio huwa wana charge
 
Back
Top Bottom