Mkuu umetumia gharama kiasi gani?Nashukuru tayar nimefrash
Mkuu nina tatizo kama Hilo fanya mpango wa scatter file basiTECNO DP7CPRO nikipiga inaandika cellular network not available, tafadhali nisaidie na hata nikigiwa sipatikani
Nisaidie link ya scatter file maana za kriztekblog zina tatizo hiloMkuu kama upo DSM nichek,gharama hatutogombana,+255625697394
Hii ikopoa kabisa:-Nisaidie link ya scatter file maana za kriztekblog zina tatizo hilo
Hilo ni la kriztekblog maana ninalo!!Hii ikopoa kabisa:-
MEGA
Tecno Droidpad 7C Pro (DP7CPRO-KC07T-A1-L-20160513) (Miracle Box Dump)
Flash na miracle box kama tatizo Litakuwa bado lipo pale pale basi ujue wale jamaa zetu watakuwa wameilamba so cheza na Mtk engineering mode at your own risk
10,000 tu mkuu
Kutokana na maelezo yao hao jamaa inaonyesha kwamba tatizo walokumbana nalo linaweza kuwa imei za device zao zipo backlisted ndiyo maana haziregister network sasa unataka kutuambia hao Tecno makao makuu wanachange Imei siku hizi?Ungeenda Tecno makao makuu wangekufanyia buree kabisa matatizo kama hayo
Kutokana na maelezo yao hao jamaa inaonyesha kwamba tatizo walokumbana nalo linaweza kuwa imei za device zao zipo backlisted ndiyo maana haziregister network sasa unataka kutuambia hao Tecno makao makuu wanachange Imei siku hizi?