Msaada taarifa kuhusu utaratibu wa kufungua tuition na re-siter centers | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada taarifa kuhusu utaratibu wa kufungua tuition na re-siter centers

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Tunsume, Nov 22, 2011.

 1. T

  Tunsume Member

  #1
  Nov 22, 2011
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 68
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 15
  Tafadhali naomba msaada na taarifa jinsi ya kusajili tuition na re-siter center. Hii ni huduma ya kutoa tuittion kwa ajili ya wananfunzi waliofeli mitihani ya form four na six na pia kuwa huduma ya mafunzo kwa ajili ya kurudia mitihani hiyo. Pia tunataka kutoa huduma ya kuwafundisha vijana kwa ajili ya kufanya mitihani ya IGSCE, PSAT etc. Paomoja na taarifa ni vizuri kujua kama kuna mtu anatoa huduma ya kufanya usajili haswa mkoani Arusha
   
 2. T

  Tunsume Member

  #2
  Nov 24, 2011
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 68
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 15
  Tafadhali mwenye taarifa kuhusu utaratibu wa kusjaili tuition and re-siers center anipigie simu namba 0753 087713 ama anitumir
   
 3. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #3
  Nov 24, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  nenda wizara ya elimu nahisi watakuwa na chochote cha kukusaidia...
  all the best mkuu ni biashara nzuri sana hiyo coz wanafunzi wengi wa siku hizi wanafeli sana sijui tatizo ni nini mfumo mbaya wa elimu au matoto yetu yenyewe ni vilaza
  ANGALIA TU MSIWAPE MIMBA WANAFUNZI WA KIKE
   
 4. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #4
  Nov 24, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Ukishaanzisha niambie niwasaidie vitabu vya rejea.
   
Loading...