msaada system charge ktk simu hTc

mfereji maringo

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
1,037
250
wadau simu yangu aina ya hTc imekufa system charge vp inaweza kupatikana hapa dar au ndo nichajie kobe tu?
 
wadau simu yangu aina ya hTc imekufa system charge vp inaweza kupatikana hapa dar au ndo nichajie kobe tu?

HTC ipi mkuu? T-mobile MDA vario au?
mara nyingi port zake sio rahisi kuwa demaged, hebu jaribu chager nyingine, hata za motorola zinafaa tu.
Mimi nina HTC MDA vario ii ilikufa charger yake nikanunua ya motorola ipo powa kama kawa.
kobe inaua betrii sio nzuri.
Kwa msaada zaidi tembelea http://forum.xda-developers.com kisha search model ya simu yako utapata mengi.
Zaidi ya hapo labda ubadilishe motherboard na hakika no one in bongo can fix it kama kweli itakuwa port yake ipo dameged ktk motherboard.
au peruzi ebay na ununue online kichajia betrii
 
asanteni kwa michango yenu, tatizo sio charger ila charging system yake ktk simu yenyewe imekufa nami sipendi kutumia kobe kwani inauwa betri, anyway nitajaribu kucheck online kwa link zg hapo juu mlizopost wadau, hata hivyo naendelea kupokea mawazo yenu.
 
nawashukuru wote kwa michango, drphone wapi naweza badilishiwa hapa dar? nitashukuru kama nitasaidiwa kuirekebisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom