Barbie Maliposa
Senior Member
- Feb 9, 2011
- 153
- 19
habari zenu wote,wapi naweza pata mafunzo ya kuogelea kwa DSM?msaada plz kama wajua.
naomba kukuuliza swali,naona siku hizi kila dada hapa bongo anataka kujifunza swimming vipi ndio fashion nini ? kama ilvyokuwa gym miaka ya nyuma ?habari zenu wote,wapi naweza pata mafunzo ya kuogelea kwa DSM?msaada plz kama wajua.
naomba kukuuliza swali,naona siku hizi kila dada hapa bongo anataka kujifunza swimming vipi ndio fashion nini ? kama ilvyokuwa gym miaka ya nyuma ?
naomba kukuuliza swali,naona siku hizi kila dada hapa bongo anataka kujifunza swimming vipi ndio fashion nini ? kama ilvyokuwa gym miaka ya nyuma ?
haina joto sis ukija kusalimia next time utarudi Yaeda ukiwa mwalimu wa kuogelea.brother....naomba unifundishe kama unajua......
thank you dear bt i cant affordHow much can you afford?
How old are you?
Lady or Gent...
Which area do you live?
Are you mobile?
If you can not answer any of the above just go to Funky's,in Masaki it is in the same street to the SA embassy, just after the filling/petrol station
They will charge you 45,000/month,they work until 2000hrs I think if not 2200hrs and you will pay a trainer 6,000/visit.
If that soln is expensive may be you txt me,I can find a cheaper one!
mazoezi mazuri ya viungo hasa tumbo....two wiks no tumbo.naomba kukuuliza swali,naona siku hizi kila dada hapa bongo anataka kujifunza swimming vipi ndio fashion nini ? kama ilvyokuwa gym miaka ya nyuma ?
panaitwaje?Pale junction ya kuelekea Kawe ipo swimming school nzuri tu kwa watu wazima
naskia hawafundishi siku hizinenda udsm bei poa
Especial style ya backward.....inakaza misuli ya tumbo...Jamani hata mie nataka nifanye hiyo swimming nipunguze tumbo maana kila mtu ananiambia kuwa ukifanya swimming unapungua unakuwa huna tumbo kabisa na uzito pia unapungua ni njia nzuri sana ya kupunguza mwili. mwenye kujua kwenye unafuu pls tujuzeni maana wengi watanufaika.
Pale junction ya kuelekea Kawe ipo swimming school nzuri tu kwa watu wazima
Jamani hata mie nataka nifanye hiyo swimming nipunguze tumbo maana kila mtu ananiambia kuwa ukifanya swimming unapungua unakuwa huna tumbo kabisa na uzito pia unapungua ni njia nzuri sana ya kupunguza mwili. mwenye kujua kwenye unafuu pls tujuzeni maana wengi watanufaika.