Msaada:swimming classes

Kurasini mitaa ya bandari pale "Mission to seaman"
Kuna walimu wazuri sana... ila sijaenda kitambo!
 
How much can you afford?
How old are you?
Lady or Gent...
Which area do you live?
Are you mobile?
If you can not answer any of the above just go to Funky's,in Masaki it is in the same street to the SA embassy, just after the filling/petrol station
They will charge you 45,000/month,they work until 2000hrs I think if not 2200hrs and you will pay a trainer 6,000/visit.
If that soln is expensive may be you txt me,I can find a cheaper one!
 
Tembelea dinamarios.blog yule dada kaanza kujifunza swimming last month atakuelekeza,hii ya 45 per month na 6 kila visit naona ghali.
 
naomba kukuuliza swali,naona siku hizi kila dada hapa bongo anataka kujifunza swimming vipi ndio fashion nini ? kama ilvyokuwa gym miaka ya nyuma ?

Hee kumbe nami nilikuwa sana kwenye fashion kabla fashion yenyewe haijaanza eee :]

Anyway, swimming ni nzuri sana kwa mazoezi ya viungo vyote vya mwili. Ina fanya unakuwa na body shape nzuri na pia wengine wanatumia kama namna moja ya kuslim down.
 
How much can you afford?
How old are you?
Lady or Gent...
Which area do you live?
Are you mobile?
If you can not answer any of the above just go to Funky's,in Masaki it is in the same street to the SA embassy, just after the filling/petrol station
They will charge you 45,000/month,they work until 2000hrs I think if not 2200hrs and you will pay a trainer 6,000/visit.
If that soln is expensive may be you txt me,I can find a cheaper one!
thank you dear bt i cant afford
 
Jamani hata mie nataka nifanye hiyo swimming nipunguze tumbo maana kila mtu ananiambia kuwa ukifanya swimming unapungua unakuwa huna tumbo kabisa na uzito pia unapungua ni njia nzuri sana ya kupunguza mwili. mwenye kujua kwenye unafuu pls tujuzeni maana wengi watanufaika.
 
Especial style ya backward.....inakaza misuli ya tumbo...
 
swimming inapunguza uzito. tatizo lako ww ukitoka swimming utakunywa bia kama boza la manispaa na kitimoto cha kushiba kanguruwe kadogo. workdone=0, lol
bt anyways unakua fit kwa kweli, ni zaidi ya gym

Back
Top Bottom