The Boldly
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,377
- 5,147
Si kilo 60.Alpha alikula 1/4 ya mchele wake,kisha aliuza 1/3 ya mchele uliobaki.ikiwa alibakiwa na kg 60.Tafuta kg alizokuwa nazo.
Cc Mwifwa
Kabla ya kula na kuuzaSi kilo 60.
Sawa na nyingine inayosema find x wakat x inaonekana kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwa na kilo 120Alpha alikula 1/4 ya mchele wake,kisha aliuza 1/3 ya mchele uliobaki.ikiwa alibakiwa na kg 60.Tafuta kg alizokuwa nazo.
Cc Mwifwa
😂😂😂😂😂Najaribu hapa kusolve napata alikuwa hana mchele😂😂😂
Nilisafiiri 1/3 ya safari kwa miguu,kisha nikasafiri 3/4 kwa baiskeli.ikiwa zilibaki km 2.je safari ilikuwa ya umbali ganiTayari jibu ni 120 na njia ndo hiyo nimeishairekebisha
Nikupe mji?Wrong
Nikupe mji?
Nataka chato😅Nikupe mji?
Nataka chato😅
No.. you could be right Ila approach uliyotumia kwenye case 'ya kilichobaki'
1/3 of 60 😥
Qualitatively 👏😅Hahahah
Nimetumia njia rahisi inayoeleweka sanaa...mchele ulikuwa 120 kilos
Akala robo ya mchele(1/4) ambayo inakuwa robo times kilos zote ambayo inakuwa 30
Akauza theluthi(1/3) ya kilichobaki(kupata kilichobaki unachukua kilos zote (120) unatoa alizokula (30) unapata 90(kilochobaki) times 1/3 unapata 30
Kwenye swali anasema kilichobaki ni 60 kilos so inabalance kabisa
Alichokula(30)+Alichouza(30)+Kilichobaki(60)=120 kilos
Alpha alikula 1/4 ya mchele wake, kisha aliuza 1/3 ya mchele uliobaki.ikiwa alibakiwa na kg 60.Tafuta kg alizokuwa nazo.
Cc Mwifwa
Kufundisha ni kipaji changu,Njia.
Fikiria Y iwe ni jumla ya Kg za mchele alizo kuwa nazo Alpha
Mchele alio kula=1/4 ya Y=1/4xY=1/4Y
Mchele alio uza=1/3 ya mchele uliobaki
Lakini Mchele uliobaki baada ya kula=Jumla ya mchele-Mchele alio kula =Y-1/4Y=3/4Y
Kwa hiyo,
Mchele alio uza=1/3 ya 3/4Y =1/3x3/4Y
Mchele aliouza= (1x3)/(3x4)Y=3/12Y=1/4Y
Jumla ya mchele wote=Mchele alio kula+Mchele alio uza + Mchele alio baki nao
Y=1/4Y+1/4Y+60
Zidisha na 4 kila upande
4Y=Y+Y+240
4Y=2Y+240
4Y-2Y=240
2Y=240
Y=120
Kwa hiyo Alpha alikua na Kg 120 za mchele
Dada una mwandiko mzuri sana, alafu unaonekana una akili sana, alafu una bachelor ya maswala ya sayansi, hongera zako